Mitz kits Website

Namna ya kufanya malipo kwa njia ya M-pesa

STEPS DESCRIPTION
1 Bonyeza *150*00#
2 Chagua namba 4:(Weka namba ya KAMPUNI)
3 Weka namba ya kampuni:217373
4 Weka namba ya kumbukumbu ya malipo:
andika una fanya malipo kwa ajili ya nini (Mf:MITzkits)
5 Weka kiasi :
6 Weka namba ya siri:*******
7 Bonyeza 1 kuthibitisha